Linda ngozi yako na uhakika! 🌞
Neutrogena Ultra Sheer Dry-Touch Sunblock SPF 50+ ni chaguo sahihi kwa ulinzi wa hali ya juu bila mafuta. Waterproof, nyepesi, na tested na wataalamu wa ngozi!
Overview
Features:
- ✔️Inalinda ngozi dhidi ya uharibifu wa jua.
- ✔️Haina hisia ya mafuta, hivyo inafaa hata kwa wale wenye ngozi ya mafuta.
- ✔️Inadumu kwa muda mrefu hata ukiwa majini au unapotoka jasho.
Leave feedback about this