$350,000
Tecno Spark 20 ni simu janja iliyotolewa Desemba 2023, ikiwa na mchanganyiko wa sifa bora na bei nafuu.
Muonekano na Kioo: Simu hii ina kioo cha IPS LCD chenye ukubwa wa inchi 6.6 na mwonekano wa 720 x 1612 pixels. Pia, ina kiwango cha upyaishaji (refresh rate) cha 90Hz kinachoboresha uzoefu wa mtumiaji
Overview
Features:
- Kioo: IPS LCD, inchi 6.6, 720 x 1612 pixels, 90Hz refresh rate
- Processor: MediaTek Helio G85 (Octa-core)
- OS: Android 13, HIOS 13
- RAM & Hifadhi: 8GB RAM, 256GB ROM
- Kamera Kuu: 50MP + 0.08MP (Dual)
- Kamera ya Mbele: 32MP
- Betri: 5000mAh, 18W fast charging
- Sauti: Stereo speakers, 3.5mm headphone jack
- Usalama: Fingerprint (upande wa kando)
- Muundo: Gravity Black, Cyber White, Neon Gold, Magic Skin 2.0 (Blue)
Leave feedback about this